Music

banner image

Header Ads

Header ADS

Custom Widget

3/Business/post-per-tag

SIMULIZI | Facebook Love Sehemu ya pili.

FACEBOOK LOVEE 02 Kweli akaja, kilichofuata, nadhani wengi mnakijua, tukaridhika sana na hivyo kuliongeza penzi letu kutoka moja mpaka mbili. Baada ya miezi sita huku nikiwa nimelewa kwa penzi lake, nikamwambia kwamba nahitaji kwenda kwao, nikapafahamu tu kwani haikuwa saua tuwe wapenzi halafunisipafahamu kwao, niltaka hata siku imetokea nimempa mimba kwa bahati mbaya basi nijue nini cha kuwaambia wazazi wake huko kwao, akawa ananizingua. Sikutaka kujali sana, nikawa namsisitizia sana bado akakataa kwa kunipa kalenda, mara keshoa mara wiki ijayo, sijui baba yupo, maneno mengimengi Nilipata mapenzig nikapata ngono lakini kupata vyote hivyo bila kupafahamu kwao, niliona tatizo kubwa, nikang'ang'ania. Nilipoona imeshindikana, nikaamua kumtumia relationship ya kimapenzi, yaani akubali na uhusiano wetu utambulike humo Facebook kwani nilihisi kama napokonywa, napo hakuikubalig yaani ilikwenda na kuwa pending. Nilichokifanya ni kuanza kupeleleza. Kulikuwa na msichana mmoja ambaye kila siku alikuwa akicomment kwenye status zake kwa kumuita BFF yaani Best Friend Forver, Huyo msichana aliitwa Rosea nikaamua kumfuata inbox. Nikaanza kumzoea Rose, akatokea kuwa karibu na mimi, nikamuomba namba ya simu, alihisi labda namtaka lakini haikuwa hivyo, akanipa namba tukaanza kuwasiliana kwenye simu. Tukazoeana, nikamfurahisha sana lakini siku zote nilimwambia kwamba hatutakiwi kuwa wapenzi, akakubali ikafika siku nikataka kuonana naye, akakubali Siku hiyo tulizungumza mengig nikamwambia kwamba kuna rafiki yangu anampenda msichana mmoja facebook tayari kufa kwa ajili yake, akaniuliza msichana gani nikamwambia anajiita Precious Baby Girl ambaye ni Natasha . Kwanza akacheka sana, akaniambia anamfahamu msichana huyo, ni msichana mrembo, rafiki yangu wala asijisumbue tukaonana na alikuwa na wake, jamaa mmoja mwenye kwani Natasha ana mwanaume mkwanja anampenda sana.
Itana endelea.......
SIMULIZI | Facebook Love Sehemu ya pili. SIMULIZI | Facebook Love Sehemu ya pili. Reviewed by Siabi World on July 22, 2019 Rating: 5

No comments:

title-header