Ikiwa ni miezi kadhaa imepita tokea Cardi B na Offsetkutangaza kurudiana baada ya wawili hao kutengana mwishoni mwa mwaka jana 2018, sasa Cardi B azidi kuonyesha mapenzi kwa mume wake hii ni baada ya kuchora tattoo lenye jina la ‘Offset’ nyuma ya paja lake.
Inaelezwa kuwa Offset pia alishawahi kuchora tattoo yenye jina la Cardi B kwenye shingo yake ikiwemo na majina ya watoto wake wote wanne pamoja na ya watu wake wa karibu anaowapenda na hivyo imezoeleka kwa Offset kufanya hivyo.
Kutokana na comments kutoka kwa mashabiki senti wamehoji kuwa huenda Cardi B amefanya hivyo kurudisha upendo ambao Offset amekuwa akimuonyesha ikiwemo na kuchora jina lake tattoo huku wengine wakidai kuwa ni mapenzi ya dhati yaliomsukuma Cardi B kufanya hivyo.
Mapenzi ya Cardi B kwa offset ni moto achora Tattoo
Reviewed by Siabi World
on
July 22, 2019
Rating:
At Jmaloo we put together all the beauty secrets and its getaways into one place for you to explore, browse and find your best match with amazing deals and prices.
ReplyDeletecosmetic
filler
botox
laser hair removal
fractional laser
prp
Contact Information :-
Website :- www.jmaloo.com
Phone Number :- +971503246040
Email :- info@jmaloo.com
Buy Real Driver's License Online
ReplyDeleteEmail Us:- inkdrop121@gmail.com
What's App Number +44 7520660907
We're the producers of legal documents and we provide documents like Drivers license, passport, visa, ssn, citizenship certificate and many more. If you are interested or for more information please do not hesitate to get in touch with us via Email Us:- inkdrop121@gmail.com