Music

banner image

Header Ads

Header ADS

Custom Widget

3/Business/post-per-tag

SIMULIZI | Facebook Love sehemu ya nne 4

Facebook Love
Sehemu ya nne.

SIMULIZI: FACEB0OK LOVEE 04 nikamuuliza Swali moja, alikuwa tayari kuolewa na mimi? Kabla ya kunijibu akatoa tabasamu pana na kuniambia kwamba alikuwa tayari, nikamwambia kwamba anatakiwa kuwa mkweli kwa kila kitue Nikamwambia kwamba mimi nilikuwa na wasichana, hao wote nimewadelete pale nilipoamua kuwa naye, je, yeye wake aliwaDELETE? Na kama wapo, anaweza kuwadelete kwani nilitaka tuanze upya kwenye mapenzi Akaniambia kwamba alikuwa nao, aliwadelete na hapo yupo na mimi tu. Hakujua kama nilijua mengi, nikamwambia aniambie ukweli, asinifiche ili tujue wapi pa kuanzia, akanisisitizia kwamba hakukuwa na mwingine. Nikamuuliza kweli? Akasema NDIYO Nikakubaliana naye, nikaondoka zangu kuelekea nyumbani. Nilikasirika kwa kuwa alinidanganya, nikaziangalia zile picha, kadiri nilipozitazama, hasira ilizidi kunishika, hapohapo bila kujiuliza, nikamtumia meseji na kumwambia "NAOMBA TUACHANE . Nahisi alishtuka, akaniuliza kwa nini? Nikamwambia nahitaji msichana mkweli. Hakuridhika, akanipigia simu, akaanza kunilalamikia, kwa nini nimemwambia hivyo, nikamwambia kwamba alikuwa muongo, ila ajue kwamba fedha si mapenzi, zinaweza kununua ngono akini si mapenzi, zinaweza kununua dawa la si uhai "Kwa nini?" nilimjibu ni maamuzi hasa baada ya kuona hakuwa mkwelic Nikamwambia kwamba namuacha ila kuna siku atanikumbuka, atajaribu kuja kwangu lakini hatokuwa na nafasi tena. Alijifanya kulialia, nilichokifanya ni kumtumia picha nilizompiga, baada ya hapo, nimamBLOCK kuanzia WhatsApp sikutaka kuwasiliana naye tena. Akawa ananipigia simu, ananitumia meseji lakini nilikuwa kimya, niliamua kufanya uamuzig kuna kipindi msichana lazima atambue kwamba wewe ni mwanaume mwenye msimamo, usiyetetereka hata kidogo. Nilibaki na maumiivu moyoni, nilijisemea kwamba sitokuwa na mahusiano na msichana yeyote, kidonda alichonipa, sikudhani kama kuna msichana angeweza kuniponya kidonda kile, Wakati nikilia, yeye alitabasamu, wakati nikiumia, yeye alipata raha.
#ITAENDELEA....
SIMULIZI | Facebook Love sehemu ya nne 4 SIMULIZI | Facebook Love sehemu ya nne 4 Reviewed by Siabi World on July 22, 2019 Rating: 5

No comments:

title-header