Facebook Love
Sehemu
Ya
Mwisho
SIMULIZI: FACEBOOK LOVEE MWISHOO0000 Wakati nikilia, yeye alitabasamu, wakati nikiumia, yeye alipata raha, Baada ya miaka miwili, wakati ndipo nilianza mishemishe ya kuoa, nikakutana na meseji yake ndefu inbox, alikuwa akiniomba msamaha kwa yote yaliyotokea, aliniambia ukweli kwamba alipotea, uamuzi aliouchukua ulimgharimu sana, Hakuniandikia meseji hiyo kutaka arudiane nami, ila aliniandikia kunionyeshea ni jinsi gani aliumizwa. Leo ninapozungumza hivi, Natasha hayupo kama alivyokuwa, alipata mimba, akatelekezwa akimfuata kwa gari, Jamaa alitaka kumchezea tu, alimfuata mwanaume yuleyule aliyekuwa kwa gari la kuazima, alimpakia na nyakati kwa mwenyewe. Iliniumiza, ikaniuma lakini sikuwa na Uzuri wake haupo tena, mwili umeporomoka, kile kifua cha Jioni alilirudisha za Jinsi. alikipost FB, hakipo tena, saa sita aMbacho mara kwa mara MORAL OF THE STORY Wanaume ni Wengi ila wenye mapenzi ya Dhati Na Wenye malengo mmepatana, Ukweli ni mchungu ila huwa unamuweka mtu huru na kufaham nikipi sahihi anaweza kufanya Ewe Dada Ewe kaka Badilika sasa na wew Dada Ni Wachache Haijalishi Niwapi Tujitambue, tuangalie miaka kadhaa mbele na si siku kadhaa mbele
MWISHO.
SIMULIZI | Facebook Love Sehemu ya mwisho.....
Reviewed by Siabi World
on
July 22, 2019
Rating:
No comments: