Music

banner image

Header Ads

Header ADS

Custom Widget

3/Business/post-per-tag

VIDEO | ED SHEERAN FT 50 CENT & EMINEM - REMEMBER THE NAME

Ed Sheeran awakutanisha 50 Cent & Eminem kwenye ‘Remember The Name’

Msanii maarufu kutokea Uingereza Ed Sheeranamekamilisha ndoto yake ya kuwakutanisha wakali wawili kwenye muziki wa Hip Hop Eminem pamoja na 50 Cent kwenye ‘Remember The Name’, Ed Sheeran aliwahi kutaja ujio wa ngoma yake pamoja na Eminem.
Leo July 12,2019 Ed Sheeran ameachia ngoma hiyo sambamba na Album yake ya sita ‘No.6 Collaborations Project’ inayotajwa kuwa na jumla ya ngoma 16 aliyowashirikisha wasanii kibao akiwemo Justin Bieber, Chance The Rapper na wengine kibao.


VIDEO | ED SHEERAN FT 50 CENT & EMINEM - REMEMBER THE NAME VIDEO | ED SHEERAN FT 50 CENT & EMINEM - REMEMBER THE NAME Reviewed by Siabi World on July 12, 2019 Rating: 5

No comments:

title-header