R. Kelly akamatwa tena Chicago....
Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) amekamatwa tena na Idara ya Polisi ya New York kwa tuhuma za kuwasafirisha wanawake kwa ajili ya kuwatumikisha kingono, amekamatiwa katika Jimbo la Chicago.
R. Kelly anatuhumiwa kwa makosa 13 yanayohusisha ukatili wa kingono dhidi ya Watoto
Hii ni mara ya 3 kwa R. Kelly kukamatwa, alikamatwa mara ya kwanza mwezi February kwa tuhuma za kuhusika na makosa 10 ya ngono.
Mwezi May alikamatwa tena na kushtakiwa kwa tuhuma za kuhusika na makosa 11 ya unyanyasaji wa kingono ambapo kati ya makosa hayo yalikuwemo yanayohusisha kifungo cha hadi miaka 30 jela.
MWANAMUZIKI ROBERT KELLY (R.KELLY) ANEKAMATWA TENA...
Reviewed by Siabi World
on
July 11, 2019
Rating:
Reviewed by Siabi World
on
July 11, 2019
Rating:


No comments: