Music

banner image

Header Ads

Header ADS

Custom Widget

3/Business/post-per-tag

MADONA AUZA RASMI BARUA YA 2PAC (TUPAC)....soma hapa....

                                                               Barua ya Tupac aliyomuandikia Madonna sasa kuuzwa rasmi


Inaonekana kuwa vitu vingi alivyoviacha Marehemu 2Pac vinapigwa mnada kwa sasa hii inajumuisha  barua ya rapper huyo aliyowahi kumuandikia Madonna kipindi yuko jela mwaka 1995 kwa lengo la kutaka ajue kuwa wameachana rasmi.
Inaripotiwa kuwa Mahakama mjini New York ilifuta kesi iliyokuwa ikimkabili mwanamama Darlene Lutz ambaye alifunguliwa shtaka na rafiki yake Madonna mwaka 2004 kutokana na Darlene kutaka kuiuza barua hiyo na sasa inaelezwa Mahakama imetoa ruhusa ya barua hiyo kupigwa mnada, itauzwa Milioni 200 za Kitanzania chini ya kampuni ya Memorabilia company

Barua ya Tupac kwa Madonna
Inaelezwa kuwa sababu kuu ya Tupac kumuacha Madonna ni utofauti wa rangi kutokana na yeye kuwa mweusi na Madonna kuwa mwenye asili ya kizungu (Mweupe) na pengine watu wangekua wakimdharau kutokana na yeye kuwa mweusi hata kazi zake za muziki kushuka.
MADONA AUZA RASMI BARUA YA 2PAC (TUPAC)....soma hapa.... MADONA AUZA RASMI BARUA YA 2PAC (TUPAC)....soma hapa.... Reviewed by Siabi World on July 11, 2019 Rating: 5

No comments:

title-header