Music

banner image

Header Ads

Header ADS

Custom Widget

3/Business/post-per-tag

Baada ya kusota gerezani Soulja Boy aachiwa huru...

Kwa mujibu wa mtandao wa Rap Up umeripoti kuwa rapper Soulja ameachiwa huru Jumapili ya July 14,2019 baada ya kuonekana kuwa amefuata taratibu zote za Mahakama alizotakiwa kufanya kipindi yupo gerezani Los Angeles.
Inaelezwa kuwa Soulja Boy ameachiwa huru siku ya 146 kabla ya kukamilisha kifungo chake cha siku 245 jela alichohukumiwa mwezi April kwa kosa la kuvunja masharti ya uangalizi wa kifungo cha nje, pia rapper huyo alipewa siku 265 kwa ajili ya kujishughuisha na kazi za kijamii.
Mwezi February Soulja Boy aliingia kwenye mkasa na kufungulia shtaka baada ya ex wake kudai kuwa alimvamia lakini baadae waendesha mashtaka waliitupilia mbali kesi hiyo na kudai kuwa hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuhusu kesi hiyo.
Baada ya kusota gerezani Soulja Boy aachiwa huru... Baada ya kusota gerezani Soulja Boy aachiwa huru... Reviewed by Siabi World on July 15, 2019 Rating: 5

No comments:

title-header