Music

banner image

Header Ads

Header ADS

Custom Widget

3/Business/post-per-tag

ANTOINE GRIEZMANN ASAJILIWA RASMI BARCELONA...

Barcelona yamsajili Antoine Griezmann

Klabu ya Barcelona imemsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann baada ya kukubali kulipa ada ya mchezaji huyo 120m euro (£107m).

Griezmann mwenye miaka 28 amesaini mkataba wa miaka mitano amabo unajumuisha kipengele cha 800m euro (£717m) ikiwa ataondoka klabu hiyo.

Griezmann alijiunga Atletico Madrid akitokea from Sociedad mwaka 2014 na kufunga magoli 133 kwenye michezo 256.
ANTOINE GRIEZMANN ASAJILIWA RASMI BARCELONA... ANTOINE GRIEZMANN ASAJILIWA RASMI BARCELONA... Reviewed by Siabi World on July 12, 2019 Rating: 5

No comments:

title-header